Kelvin Nyuki

Ngelani Machakos Joska to junction 2.5km
Email Mobile Number
About Us

Nauza hii plot na nyumba, niko joska junction hills 2.5km kutoka joska town inside, junction ni mahali pana grow kwa haraka kuliko joska, watu wa najenga nyumba zao na pia za biashara mahali plot yangu iko ni mahali unaweza njenga ata nyumba za rentals, kuna maji, stima, barabara sibaya, kwa mwenye anaweza kuwa na instrest nahii yangu tafadhali nicall ukuje uone na bei tutaongea (price 4.5m)lakini kwa mwenye atakua tayari tutaongea bei

Stay Tuned in with Our Newsletter

We hand-pick our favorites and send you the hottest deals every week!