Buy & Sell on Kenya's Safest Online Market
 

Tutu Mtoto wa Nasari

KSh 85
Ad ID
1023718
Posted at
19. Apr, 16:08
Details
Condition
New
Location
Nairobi CBD Nairobi
Description

Kujua lugha ya Kiswahili ni jambo zuri sana hasa ukiwa Afrika Mashariki na kwingineko ambako Kiswahili husemwa.
Nimechukua wakati kuandika kitabu hiki ili msomaji aweze kuzoeza ulimi wakati wa kuzungumza Kiswahili. Mafundisho yaliyomo humu, yanamfaa sana mwanafunzi wa shule ya msingi.
Pia, lugha niliyotumia katika kitabu hiki ni rahisi hivi kwamba msomaji hawezi kupatwa na shida asomapo.
Kujua lugha ya Kiswahili ni jambo zuri sana

EKitabu
Member Since 12. Aug '13 775 Active Ads 15239 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Stay Tuned in with Our Newsletter

We hand-pick our favorites and send you the hottest deals every week!