Buy & Sell on Kenya's Safest Online Market
 

Mwongozo wa Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine

KSh 250
Ad ID
1023194
Posted at
19. Apr '18, 13:00
Details
Condition
New
Location
Nairobi CBD Nairobi
Description

Jopo la Swahilihub Nation Media Group
Nation Media Group

OVERVIEW
Mwongozo huu wa Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine umeaandaliwa na Jopo la SWAHILIHUB. Wanajopo hawa ni walimu wa kiswahili ambao wamefundisha katika viwango mbalimbali – mathalan shule za upili na vyuo vikuu. Mwongozo huu umedhamiriwa kuwasaidia na kuwaongoza wanafunzi wanaojiandaa kwa karatasi ya kiswahili 103 (Fasihi ya Kiswahili) kwenye mitihani ya taifa wa Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE). Mwongozo huu una upekee ambao unautofautisha na miongozo mingine ya fani hizi. Baadhi ya masuala yanayoutafautisha mwongozo huu na mingine ni pamoja na:
• Matumizi ya lugha nyepesi kufafanua dhana za kimsingi za fasihi
• Sura nzima ya tamathali na mbinu za lugha pamoja na mifano yake
• Muhtasari wa kila onyesho kwa lugha sahili
• Ufafanuzi wa kina wa dhamira na maudhui ya tamthilia hiyo
• Ufafanuzi wa mbinu na tamathali za lugha zilizotumiwa na mwandishi wa tamthilia ya Mstahili Meya mifano ya mbinu hizo.
• Maswali zaidi ya 120 udurusu.
• Ushauri kuhusu jinsi ya kujibu maswali ya muktadha na ya dondoo katika fasihi

EKitabu
Member Since 12. Aug '13 274 Active Ads 15239 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Stay Tuned in with Our Newsletter

We hand-pick our favorites and send you the hottest deals every week!