''Mimi? Mimi ni jini. Jina langu ni msema kweli. Sasa ni zamu yako wewe mheshimiwa kujitambulisha,'' Jini lilijibu.
''Mheshimiwa mimi ni mwizi'' akajibu mwizi.
''...ninaelekea kwake maskini ili kuwaiba ng'ombe wake.''
uhalifu haulipi chochote, katika maisha ya jamii yetu, nmaadili mema hujenga dunia yenye utu. hadithi zilizosimuliwa zinakusudiwa kujenga maadili mema kwa msomaji ili kuwa kielezo katika jamii.
Asomaye kitabu hiki ataweza kung'mua athari ya hadaa, hivyo kutaathari nayo.
Timothy Wasike
Longhorn Publishers
We hand-pick our favorites and send you the hottest deals every week!