Buy & Sell on Kenya's Safest Online Market
 

Karani Ajuta

KSh 126
Ad ID
1024587
Posted at
20. Jul, 15:14
Details
Condition
New
Location
Nairobi CBD Nairobi
Description

Florence Nyakeri
Moran (E.A.) Publishers Ltd

OVERVIEW
Siku moja Mzee Ndege na familia yake waliamua kwenda shambani kulima. Karani alifika shambani na kuanza kuwadanganya wazazi wake kwamba alikuwa anaumwa na tumbo na kichwa. Aliamua kukaa chini badala ya kulima. Alishambuliwa na sisimizi na siafu hadi akalia. Kisha, aliamua kwenda kuvua samaki mtoni. Alipoanza kuvua, alimnasa kaa akifikiria ni samaki. Shida zake hazikuishia hapo...

EKitabu
Member Since 12. Aug '13 775 Active Ads 15239 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Stay Tuned in with Our Newsletter

We hand-pick our favorites and send you the hottest deals every week!